Best Blogger TipsSoon

Freitag, 18. März 2011

TZMPAKAAU




Huu mwimbo ni mzuri sana kwa saabu unafikisha maudhui  muhimu mawili la kwanza ni jinsi gani umasikini ulivyokithiri katika jamii yetu, ukiwafanya vijana kufikia hatua ya kuziacha familia zao huko vijijini na kwenda kutafuta maisha mijini.Lakini pili ni mapenzi,  mapenzi ya dhati kati ya wawili hawa .Just enjoy sauti nzuri ya Diamond

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen