Hapa ni schoenbrunn Vienna Austria palikuwa sehemu muhimu duniani miaka ya 1800 -1900 hapa aliishi Mother Theresa,Kaisari Joseph Franz na wengine haya ni majengo mazee saaana lakini bado yanavutia na bado yanafaa siri "Matunzo" jamani kumbe inawezekana
Hapa ni sehemu nyengine ya Shoenbrun Vienna hapa kuna zoo moja safi saana kuna wanyama kibao kuanzia ndege mpaka Tiger...jamani "old is gold" matumizi ya haya majengo yamebadilishwa kuwa sehemu ya utalii kupitia utalii huu serikali ya mji wa Vienna inagiza pesa nyingi saaana
Hii ni nyumba moja ya makumbusho kati ya mamia ya nyumba za makumbusho zilizopo Austria..
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen