GOOGLE DRIVELESS CAR
(GARI LA GOOGLE LISILOMHITAJI DEREVA)
Google ipo njiani katika kutengeneza gari ambalo halitamhitaji dereva lakini litakuwa likijiendesha lenyewe.Google wanasema gari hilo litakuwa msaada mkubwa kwa wazee,watu wasioona na wale wote wenye ulemavu unaowazuia kuendesha magari ya kawaida
Angalia !
Nchini marekani kwenye jimbo la Nevada gari moja la kampuni ya Google limeshapewa leseni na linaruhusiwa kujiendesha jimboni humo.Project hii inaongozwa na engineer wa Google anayeitwa Sebastian Thrun anayefanya kazi pia kwenye Stanford Artificial Intelligence Laboratory.Google imesema inampango wa kuuza hii teknolojia kwa watengenezaji wa magari.
Kwahabarizaidi:http://en.wikipedia.org/wiki/Google_driverless_car
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC na Wiki
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen