Best Blogger TipsSoon

Freitag, 11. Mai 2012

TZMPAKAAU

 MBONI YANGU MWIMBO WENYE WAKALI KIBAO
Mboni yangu ni mwimbo uliotengenezwa ili kuweza kuchangisha fedha za kumsaidia msanii Sajuki mwenye tatizo la ini kupata matibabu  anayoyahitaji.Shukrani za pekee ziwaendee wanaclouds fm,Dina Marios,Jackline Wolper na wengine wote walioshiriki kwa njia moja au nyengine.
 Kama watanzania na binadamu tukijiwekea tabia ya kusaidiana katika matatizo katika changamoto mbalimbali katika kujipatia maendeleo nadhani Tanzania na Dunia itakuwa mahali bora sana .
Vyanzo:TZMPAKAAU

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen