Best Blogger TipsSoon

Samstag, 28. Januar 2012

TZMPAKAAU

KENYA PROVE THAT ALMOST NO BODY IS ABOVE RULE OF LAW(KENYA SASA HAKUNA ALIYE JUU YA UTAWALA WA SHERIA)

  • The deputy attonery general of Kenya Nancy Baraza  got sacked because she is accused of threaten somebody using her pistol
Rais Mwai Kibaki amemsimamisha kazi Naibu Jaji Mkuu Nancy Baraza na kuunda jopo ambalo litafanyia uchunguzi mwenendo wake kutokana na shutuma zinazomkabili.Jaji Baraza, anashutumiwa kumtishia maisha kwa bastola mlinzi wa duka moja kubwa, Bi Rebecca Kerubo wakati wa mkesha wa mwaka mpya." Kwa wakati huu, Mheshimiwa Jaji Nancy Makokha Baraza, Naibu Jaji Mkuu, Mahakama ya juu ya Kenya amesimamishwa kazi mara moja kwa mujibu wa kifungu 168(5) cha katiba." Alisema rais Kibaki

Vyanzo:BBC na TZMPAKAAU

3 Kommentare:

  1. Tunataka katiba mpya Tanzania....Rais Kikwete uctuache bila katiba mpya

    AntwortenLöschen
  2. This is what wa2 ya Kenya tunaita rule of law eti kwasaabu wewe uko kwenye court unadhani sheria aikupati

    AntwortenLöschen
  3. we annonym wa jan 28 saa 12:33AM ongea kiswahili sanifu, hata kama unatoka Kenya kama vipi uje bongo wajanja tukupige brush.

    AntwortenLöschen