- The deputy attonery general of Kenya Nancy Baraza got sacked because she is accused of threaten somebody using her pistol
Rais Mwai Kibaki amemsimamisha kazi Naibu Jaji Mkuu Nancy Baraza na kuunda jopo ambalo litafanyia uchunguzi mwenendo wake kutokana na shutuma zinazomkabili.Jaji Baraza, anashutumiwa kumtishia maisha kwa bastola mlinzi wa duka moja kubwa, Bi Rebecca Kerubo wakati wa mkesha wa mwaka mpya." Kwa wakati huu, Mheshimiwa Jaji Nancy Makokha Baraza, Naibu Jaji Mkuu, Mahakama ya juu ya Kenya amesimamishwa kazi mara moja kwa mujibu wa kifungu 168(5) cha katiba." Alisema rais Kibaki
Vyanzo:BBC na TZMPAKAAU
Tunataka katiba mpya Tanzania....Rais Kikwete uctuache bila katiba mpya
AntwortenLöschenThis is what wa2 ya Kenya tunaita rule of law eti kwasaabu wewe uko kwenye court unadhani sheria aikupati
AntwortenLöschenwe annonym wa jan 28 saa 12:33AM ongea kiswahili sanifu, hata kama unatoka Kenya kama vipi uje bongo wajanja tukupige brush.
AntwortenLöschen