Al Shabab yaapa kulipiza kisasi
Al Shabab said they will revenge against Kenya

Akizungumza na idhaa ya Kisomali ya BBC Sheikh Dheere amenukuliwa akisema " Tunaiambia serikali ya Kenya na watu wake kuwa wametangaza vita, hawajui vita ni nini, ni kubomoa majengo ya orofa na yanayopendeza nchini Kenya ambayo yanatambuliwa kwa uzuri wake Afrika na vile vile kuzorotesha utalii".Kauli ya Al Shabab inafuatia, hatua ya Kenya kuingiza majeshi yake nchini Somalia ili kukabiliana na kundi la ugaidi la Al Shabab .Mashuhuda wanasema wameona magari mengi ya jeshi la Kenya eneo la mpakani ikiwa nipamoja na ndege na helikopta.
Vyanzo:TZMPAKAAU na BBC
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen