KUTOKA CONTENA HADI DARASA
Hapo wadau wanalipigia mahesabu
Mambo ndo yameanza lakini bado safari ni ndefu
Sasa mambo yanaanza kuiva taratibu
Ukiwa ndani unaweza ukasahau kwamba ni kontena
Wadau wanakwambia lazima kieleweke
Nje safi, ndani safi saana
Hapa wananchi wakijinafasi ndani ya kontena
Sasa unachagua unataka kontena au nyumba ya kawaida?unalinganisha gharama na uhalisia wa kuishi kwenye kontena bila kusahau kwamba linaweza likapata joto afu unaamua.....
Tembelea www.zoom.ac.tz na www.zoomptz.com
Sources:Dinamarios,TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen