MAMBO 10 MADOGO TU YA KUFANYA
ANZA NA USINGOJE
I. Jifunze kuweka akiba ya fedha na
iache bila kuigusagusa.
II.Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye,
panga maisha.
III.Ishi mahali pa peke yako, acha
kuishi kwa wazazi au kupanga nyumba na washkaji.
IV.Lipa madeni yako ya zamani. Yote!
V.Tengeneza mwili ambao unataka
halafu jitahidi kuu-maintain! Anza
kuzingatia kuishi kwa kujali afya yako
sana.
VI. Jitahidi uwe na marafiki ambao wana
changamoto za kimaendeleo
zitakazokusaidia.
VII. Anza kujinunulia assets kama ardhi
na nyinginezo.
VIII. Jifunze kuvaa vizuri na kwa heshima, si tu ilimradi umependeza.
IX. Kubali sasa kwamba umekua na
acha tabia na mambo ya kitoto.
X. Yaache ya zamani yapite na anza
mapya.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen