TAFADHALI TOA MAONI YAKO KUHUSU MABADILIKO YA KATIBA
Tume
ya Mabadiliko ya Katiba inapokea maoni ya wananchi kupitia mikutano
ya ana kwa ana;SMS kwenye namba 0715 (Tigo) /0767 (Vodacom) / 0787 (Airtel) / 0774 (Zantel) – 08 15 08; barua pepe (maoni@katiba.go.tz); njia za posta (S.L.P.
1681, Dar es Salaam au S.L.P. 2775, Zanzibar); ukurasa wa ‘facebook’
(Tume ya Mabadiliko ya Katiba) na tovuti (http://www.katiba.go.tz/) .
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen