JIMBO LA IGUNGA LAPOTEZA MWAKILISHI
Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka mahakamani kuwa mbunge wa Igunga kwa ruhusa ya CCM Dk. Peter Dalali Kafumu Amevuliwa Ubunge na Mahakama, Habari zaidi zitakujia hivi punde usikae mbali na blog hii
Vyanzo:TZMPAKAAU,Ippmedia na Mjengwa
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen