MELI NYINGINE YAZAMA ZANZIBAR
( SEA VESSEL HAS SANK AROUND ZANZIBAR WITH ALMOST 200 PASSENGERS ABOARD)
Abiria wakisubiria kuokolewa
Waokoaji wakiopoa moja ya maiti
Meli la shirika la bandari likiwa katika zoezi la kuokoa watu
Taarifa zinasema Meli ya Star gate iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es Salaam imezama . Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7 mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe jirani na Zanzibar. Mpaka sasa haijafahamika madhara yaliyotokana na ajali hiyo.
.
Vyanzo :TZMPAKAAU na Global Publishers
Vyanzo :TZMPAKAAU na Global Publishers
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen