Best Blogger TipsSoon

Freitag, 22. Juni 2012

TZMPAKAAU

LORI LA MCHANGA LAIVAA BAA NA KUUA(THE LORRY THAT   LEFT THE ROAD AND CRASH AT THE BAR HAS LEFT ONE DEAD)
Lori lililokuwa limebeba mchanga likiwa limeacha njia na kuingia kwenye kwenye Bar ijulikanoyo kama Kmm maeneo ya Tegeta Kibaoni jijini Dar es salaam leo kwenye ajali hiyo mtu mmoja amefariki hapohapo na wengine wawili majeruhi.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE.


Bar hiyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo leo maeneo ya Tegeta.Kumekuwa na mfululizo wa matukio kama haya Tegeta ambapo malori mabovu ya mchanga huacha njia na kuua au kujeruhi. TZMPAKAAU ingependa kuona wadau wanachukua hatua kuepusha maafa zaidi.
Vyanzo:TZMPAKAAU na FullShangwe

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen