Mbunge wa jimbo la Ubungo bw.John Mnyika akitoka nje ya viunga vya bunge Dodoma baada ya kukataa adhabu ya kufuta kauli iliyodai kuwa Rais Kikwete ni kiongozi dhaifu Mbunge alitoa kauli hiyo wakati akichangia bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.
Huu ni ufafanuzi wa mbunge juu ya kauli yake
Vyanzo:TZMPAKAAU , Global Publishers na Mjengwa
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen