(One of the Air Tanzania planes has crashed in Kigoma....all of the 35 on board passengers and 4 members of the crew got out safe)
Abiria pamoja na wafanyakazi wa kiwanja cha ndege kigoma wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali ya ndege hiyo.
Propela la kulia kwa ndege hiyo likiwa limeharibika vibaya.Ndege hiyo Dash 8-300 ilivyoonekana kwa ndani baada ya ajali .
Mmoja wa abiria walionusurika na ajali hiyo akiwasimulia waandishi wa habari kilichotokea.
Ndege ya shirika la ndege la Taifa (Air Tanzania Corporation(ATC)) aina ya Dash D 8-300 iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea Dar Es Salaam kupitia Tabora ilishindwa kuruka na kudongokea ubavu wake wa kulia.Abiria wote 35 na wafanyakazi 4 wamenusurika.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Mjengwa,Michuzi.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen