Best Blogger TipsSoon

Montag, 26. März 2012

TZMPAKAAU

SENEGAL'S SALL MARKS POLL VICTORY
(MGOMBEA MPINZANI WA RAIS ABDOULAYE WADE MACKY SALL ASHEREHEKEA USHINDI)
Macky Sall currently elected president of Senegal.
The winner of Senegal's presidential election, Macky Sall, hails a "new era" for the country, signalling an end to Abdoulaye Wade's 12 years in power. 
Rais wa Senegal aliyemaliza muda wake, bw.Abdouley Wade (miaka 86 au zaidi).
Macky Sall amesherehekea ushindi wake dhidi ya aliyekuwa rais wa Senegal kwa miaka 12 mfululizo Abdoulaye Wade.Washabiki wake wakisherehekea Mjini Dakar Senegal walisema "wanaimani kubwa na Macky Sall kwani ni mtu mwaminifu na mtu mwenye mapenzi kwa nchi ya Senegal".
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC na The Gurdian.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen