Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 22. März 2012

TZMPAKAAU

UINGEREZA YAIPA TANZANIA BILIONI 69.5
(U.K HAS GRANTED TANZANIA 69.5 MILLION DOLLARS
TO FACILITATE AVAILABILITY OF WATER IN RURAL AREAS.)
Rais Jakaya kikwete akikagua  chanzo cha maji katika kijiji Pawaga  mkoani Iringa.
Tanzania imepokea Sh. bilioni 69.5 kutoka Serikali ya Uingereza kwa ajili ya kusaidia kuimarisha huduma ya maji vijijini pamoja na utunzaji wa mazingira bora katika kipindi cha miaka minne ijayo.
Msaada huo utawanufaisha zaidi wa wakazi 650,000 watakaopata huduma ya maji safi, na zaidi ya wakazi 160,000 katika kuimarisha huduma ya vyoo hasa kwa wakazi wanaoishi vijijini.
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Mkurugenzi wa asasi ya DFID Tanzania, Marshall Elliot, alisema upatikanaji wa huduma ya maji ni muhimu katika maisha ya mwanadamu hasa katika afya, elimu na kipato.
toa maoni......
Vyanzo:TZMPAKAAU na Ippmedia

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen