Dk Slaa akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Arumeru mashariki kwa tiketi ya CHADEMA bw.Joshua Nassari,mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa KIA Kilimanjaro .
Haya ni mapokezi ya Dk.Slaa mara alipowasili kijiji cha Nguruma Arumeru mashariki akitokea Mwanza,Dk Slaa amekwenda Arumeru na nia moja tu ,kumnadi bw.Joshua Nassari.Hapa ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA bw.Joshua Nassari, na katibu mkuu wa CHADEMA Dk.Wilboard Slaa wakihutubia huko mamia ya wapenzi wa chama hicho huko ,Arumeru Mashariki.
Vyanzo:TZMPAKAAU,MWANANCHI na MICHUZI
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen