(KIM JONG UN AMETOA VITISHO KUHUSIANA NA MAZOEZI YA KIJESHI YA SOUTH KOREA NA MAREKANI )
North Korean leader Kim Jong Un.
North Korean leader Kim Jong Un threatened to launch a powerful retaliatory strike against South Korea if provoked, state media said Sunday, a day before the start of annual South Korean-U.S. military drills that Pyongyang calls an invasion rehearsal.
Kushoto ni aliyekuwa kiongozi wa North Korea Kim Jong Il na kulia ni kiongozi mpya wa sasa Kim Jong Un.
Kiongozi wa korea ya kusini ametishia kulipa kisasi kinyume cha Korea-kusini kama Korea-kaskazini itavamiwa kijeshi. Shirika la habari la taifa lilieleza hayo Jumapili,siku moja kabla ya kuanza kwa mazoezi kijeshi kati ya Korea-kusini na U.S.Mazoezi ambayo utawala wa Pyongyang unayaita mazoezi ya uvamizi.Vyanzo:TZMPAKAAU FOX News and Through Eyes From Afar
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen