(MALDIVES PRESIDENT MOHAMED NASHEED HAS DECIDED TO LEAVE THE OFFICE,AFTER THE WEEKS OF PROTESTS)
Rais wa visiwa vya Maldives Mohamed Nasheed amejiuzulu baada ya wiki za maandamano yaliyoandamana na maasi ya maafisa wa usalama.Akihutubia taifa kupitia runinga , Rais Nasheed alisema kwamba hali nchini humo itakuwa bora akiondoka.Sasa rais huyo anatarajiwa kuyakabithi madaraka kwa makamu wa rais Muhammad Waheed Hassan.
Vyanzo:TZMPAKAAU,NEWS.cn na BBC
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen