Best Blogger TipsSoon

Samstag, 25. Februar 2012

TZMPAKAAU

DUTCH PRINCE MAY NOT COME OUTOF COMA:DOCTOR
MWANA WA MALKIA BEATRIX WA UHOLANZI MAHUTUTI:DAKTARI
Right Johan Friso
AMSTERDAM (Reuters) - Dutch Prince Johan Friso, who was buried in an avalanche a week ago while skiing in Austria, has suffered severe brain damage and may not come out of a coma, his doctor told a press conference on Friday."Because the prince was stuck under the snow for a very long time, he did not get enough oxygen," his doctor, Wolfgang Koller, told a press conference.
"The lack of oxygen led to a cardiac arrest, which lasted for 50 minutes. During this entire period the patient had to be resuscitated. This is an exceptionally long period, you can say too long a period," Koller said.
Eneo la tukio
Johan Friso mwana wa malkia beatrix aliyefukiwa kwenye barafu wiki iliyopita akiwa anaskii nchini Austria amepata madhara makubwa kwenye ubongo wake na inawezekana asitoke katika hali ya umahututi.......daktari wake alisema kwenye mkutano na waandishi wa habari ,"Kwasababu mwana wa mfalme alifukiwa kwenye barafu kwa muda mrefu ,hakupata hewa ya Oxyjen ya kutosha.Na ukosefu huu wa hewa ulisababisha moyo wake kusimama kwa dakika 50.Na katika kipindi chote hicho madaktari walifanya kazi ili kuuamsha moyo wake tena.Huu ni mda mrefu sana,"Koller alisema.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Reuters(Amsterdam),Yahoo News,BRF online and LokalesHeute.at

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen