Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 12. Februar 2012

TZMPAKAAU

WHITNEY HOUSTON(48) IS GONE
WHITNEY HOUSTON KAONDOKA
American singer and actress Whitney Houston has died in Los Angeles at the age of 48.Police said she died in her room at the Beverly Hilton Hotel, where she had been staying as a guest.Houston was one of the most celebrated female singers of all time, with hits including I Will Always Love You and Saving All My Love For You.
Mwimbaji maarufu wa Kimarekani mwenye asili ya Afrika Whitney Houston(48) amefariki  jijini Los Angeles. Polisi wanasema Whitney Houston alikutwa amefariki jana jioni kwenye chumba alichokuwa amepanga katika  hoteli ya Beverly Hilton Hotel,ambapo alikuwa akikaa kama mgeni kwa ajili ya kuhudhuria ugawaji wa tuzo za Grammy.Katika kipindi cha umaarufu wake Whitney alijinyakulia tuzo za grammy  mara sita.Whitney alikuwa ni mmoja kati ya wanamziki wa kike aliyejipatia jina kubwa, hasa kwa kupitia nyimbo zake kama I Will always love u  na Saving All My Love for u.
Vyanzo:TZMPAKAAU, n-tv,BBCna Kleine Zeitung



Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen