At least three people were reported dead, after a cruise
liner ran aground off the coast of italy on saturday.
Thousands of passengers and crew were evacuated by
life boats while others had to be airlifted to safety the
italian coast guard reported.
"
Watu watatu wameripotiwa kufa maji na wengine maelfu
kuokolewa baada ya meli ya kifahari ya Costa Concordia
yenye tani 114,500 kugonga kijimwamba kisiwani Giglio
nchini Italy siku ya Ijumaa.
Meli hiyo la kifahari kabla ya kukutwa na shari
Costa Concordia.Waliookoka kwenye ajali hiyo wanasema
ilikuwa ni kama na marudio ya "Titanic", watu wakijitosa
baharini na kung'angania majacketi ya kujiokoa."Nilikuwa na uhakika kwamba nitakufa,tulikaa kwenye vijimtumbwi kwa
masaa mawili tukilia na kukumbatiana" huku akibubujikwa na machozi Antonieta Sintolli mwenye miaka 65 alieleza.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Peoples Daily na France24
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen