Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 8. Januar 2012

TZMPAKAAU

ANC YAADHIMISHA MIAKA 100 YA KUWEPO CHAMA HICHO
(MASS RALLY MARKS ANC`s CENTENARY)
Mkutano wa hadhara wa leo unamaliza sherehe za siku tatu kuadhimisha ANC kutimia miaka 100.Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amehutubia maelfu ya wafuasi wa ANC, katika sherehe zinazomalizika leo za kuadhimisha miaka 100 tangu chama hicho kuundwa - chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika.
Bwana Zuma alisema leo ni siku ya furaha kwa watu wa Afrika Kusini, ambao waliangamiza ukoloni na ubaguzi wa rangi, kwa kusaidiwa na Afrika na ulimwengu.Aliongeza kuwa Ni karne ya mifano ya kuvuka vizingiti vikubwa.
Vyanzo:TZMPAKAAU,The gurdian,Telegraphynews na BBC 

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen