(Hamad Rashid avuliwa uanachama CUF)

Hamad Rashid
Baraza Kuu cha Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limewafukuza rasmi viongozi wanne wa chama hicho, akiwemo muasisi wake na Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara, Julius Mtatiro, alisema viongozi hao wamepoteza nyadhifa zao zote baada ya baraza hilo kuwavua uanachama wa chama hicho.
Vyanzo:TZMPAKAAU ,Ippmedia na FK
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen