(20 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA MAFURIKO
JIJINI DAR ES SALAAM)
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeendelea kusababisha maafa zaidi kwa binadamu, ambapo hadi kufiki jana watu 20 walithibitishwa kufariki dunia.
Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik,"alisema walioathirika katika mafuriko hayo ni watu 4,909 ambao hawana maeneo ya kuishi mkuu wa mkoa aliongeza serikali imejipanga kuwatafutia maeneo ya kuishi ili wahame kutoka katika mabonde hayo".
Vyanzo:TZMPAKAAU , IPPMEDIA na Miraya
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen