Best Blogger TipsSoon

Mittwoch, 23. November 2011

TZMPAKAAU

Rais wa Yemen asaini kuachia madaraka
(President of Yemen signs a deal to quit)

Mr Saleh signed the agreement, brokered by Yemen's Gulf Arab neighbours, in the Saudi capital, Riyadh.Under the plan, he will transfer his powers to his deputy ahead of an early election and in return will get immunity from prosecution.But protesters rallying in the Yemeni capital, Sanaa, said they would reject any deal giving the president immunity.The demonstrators said the Gulf initiative ignored the "blood of martyrs", BBC Arabic correspondent Abdullah Ghorab in Sanaa reports.
Bw.Saleh alitia saini makubaliano hayo yaliyopendekezwa na nchi jirani za ghuba katika mji mkuu wa Saudi Arabia , Riyadh.Chini ya makubaliano hayo atamkabidhi madaraka naibu wake kabla ya uchaguzi mkuu utakaotishwa mapema na yeye mwenyewe atapata msamaha wa kinga ya kufikishwa mahakamani.Lakini baadhi ya waandamanaji nchini Yemen wamesema watakataa makubaliano yoyote ambayo yatampa kinga rais na maafisa wake.Waandamanaji hao walisema mpango huo wa nchi za Ghuba umepuuza "damu ya mashahidi."

Sources:BBC,NZZOnline na TZMPAKAAU

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen