Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 6. November 2011

TZMPAKAAU

 65 WAUWAWA NIGERIA
 65 PEOPLE HAVE BEEN KILLED IN NORTHERN NIGERIA
- Boko Haram muslim militant group claim itself  to be behind the attaks.
-Police main station ,  churches and military station were the main targets
Nigeria: Die Anschlagsserie begann mit der Explosion einer Autobombe. (Symbolbild)

Msemaji wa Shirika la Msalaba Mwekundu aliarifu kuwa karibu mauaji yote yalitokea katika mji wa Damaturu, ambako makao makuu ya polisi yalishambuliwa na mtu aliyejitolea mhanga.
Makanisa kadhaa pia yalishambuliwa kwa maguruneti.
Ghasia zilianza Ijumaa katika mji ulio jirani, wa Maiduguri, ambapo kambi ya jeshi ilishambuliwa na mtu aliyejitolea mhanga.

Vyanzo:TZMPAKAAU ,ch.news,thewillnigeria.com na BBC

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen