Best Blogger TipsSoon

Dienstag, 13. September 2011

TZMPAKAAU

Wananchi  wadai serikali fidia
  • Ni wananchi wa vijiji vitatu mkoani mbeya
  • Eneo lao lilichukuliwa kupisha ujenzi wa chuo kikuu
  • Sasa ni zaidi ya mwaka toka serikali kutoa ahadi hewa


Wakazi 841 wa Kijiji cha Ikuti, Inyara na Sisitila waidai serikali fidia ya kuchukuliwa maeneo yao kupisha ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia yaani MIST kilichopo Mkoani Mbeya, lakini mpaka sasa ni zaidi ya Mwaka mmoja na mienzi minne Serikali haijawalipa fidia hiyo na ikiendelea kutoa ahadi kila siku.
 
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa chuo hicho Prof. Joseph Msambichaka.
 
 
Kulia ni Mr.A.Mtawa msimamizi wa utawala,mipango na hazina wa chuo,katikati ni Prof Msambichaka mkuu wa chuo na kushoto ni A.Bonomali Estate manager wa chuo cha MIST.
 
Akihitimisha kikao hicho, Prof. Msambichaka amesema Septema 29, mwaka huu atakuwa na jibu kutoka Wizarani kuhusu malipo ya fidia za wananchi hao.
 
Wizara husika tatueni kero za wananchi ambao wameiweka madarakani serikali.
 
Vyanzo:Mbeya yetu,TZMPAKAAU

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen