Best Blogger TipsSoon

Mittwoch, 6. Juli 2011

TZMPAKAAU

 Wamachinga wachachamaa Mwanza

 Mjini Mwanza hali ilikuwa sio shwari ,kutokana na wamachinga kufanya vurugu wakidai kutotendewa haki

na halmashauri ya jiji hilo kwa kuhamishwa kutoka sehemu zao za kufanyia biashara pasipo kufuatwa 

makubaliano

yaliyokuwa yamewekwa baina yao na halmashauri ya jiji la Mwanza.

Mabomu ya machozi na risasi yametumiwa na askari kuzima vurugu hizo,inasemekana watu watatu

 wamepoteza maisha.


Wamachinga wakiwa wamechoma matairi katikati ya barabara za jiji hilo.


Hali ndio kama hivyo biashara zimesimama na watu wanatizama tu hali ilivyokuwa ikiendelea


Kamanda wa polisi mkoani mwanza Simon Sirro naye alikuwepo eneo la tukio

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen