World most wanted man is dead
Mshukiwa no 1 wa ugaidi duniani auwawa
Al Qaeda leader Osama bin Laden has been killed in an American-led operation in Pakistan, US President
Barack Obama has announced.
Earlier, President Obama confirmed in a news conference: "I can report to the American people and to the
world, that the US has conducted an operation that killed Osama bin Laden."
"A small team of Americans carried out the operation with extraordinary courage and capability. No
Americans were harmed. They took care to avoid civilian casualties," President Obama said.
President Obama said: "After a firefight they killed Osama Bin Laden and took custody of his body."
The most wanted man was not living in caves as it was believed rather he was living in 1 million $ 100km
away from pakistan´s capital city Islamabad.
US citizens welcomed the news with hundreds of people gathering outside the White House and in New York's Times Square.
"Mshukiwa namba moja wa ugaidi duniani amethibitishwa kuuwawa ", alisema rais wa marekani Barrack Obama.
Mapema rais wa marekani katika kikao na waandishi wa habari rais wa marekani Barrack Obama alisema,
"sasa anaweza kuwatangazia wamarekani na dunia kwamba marekani imeendesha opresheni iliyopelekea
kuuwawa kwa Osama Bin Laden.Timu ndogo hiyo ya wamarekani iliendesha opresheni hiyo kwa
ukakamavu mkubwa na ujasiri na hakukuwepo madhara kwa raia wa kawaida alisema Obama na kuongeza
kuwa baada ya mapambano ya risasi walimuua kiongozi huyo wa Al qaida na mwili wake wameuhifadhi" alimaliza.
Kiongozi huyo wa Al qaida alikuwa akiishi katika jumba la kifahari kiasi kilometa 100 hivi kutoka mji mkuu
wa Pakistani Islamabad. Kinyume na matarajio ya wengi kwamba bwana, huyo angekutwa akiishi kwenye
mapango Afaghanistani.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen