Best Blogger TipsSoon

Freitag, 29. April 2011

TZMPAKAAU

                     HARUSI YA PRINCE WILLIAM NA CATHERINE MIDDLE TON
                 
                     PRINCE WILLIAM AND PRINCESS CATHERINE MIDDLETON'S ROYAL
                    WEDDING



Prince William  wa wales  alizaliwa mwaka 1982 baba yake ni Prince Charles wa  Wales na mama yake ni marehemu princes Diana wa  Wales ni mjukuu wa 3 wa Malkia Elizabeth wa 2.....basi  mama yake  alimzoesha kuishi kawaida na alikwenda nae mara kadhaa kutembelea waathirika wa UKIMWI na kutembelea watu wasio na makazi na mambo mengine mengi kwa saabu mama yake alitaka azoee maisha ya kawaida  na mama yake alitaka mwanae asikose kuona upande mwingine wa maisha.Na inawezekana hii ndiyo iliyomfanya ajisikie msukumo wa kufanya kazi anayoifanya sasa, kwa sasa Prince William ni pilot wa helkopta za uokozi .Ok but leo cha muhimu ni kwamba Prince William  ameopoa chombo  .....au amepata mwenzi wa maisha bi Catherine Middleton

The wedding ceremony of William and Kate at Westminster Cathedral

Hapa walimuuliza  William  prince wa Wales je utakuwa na Kate kwa shida na raha,katika milima na mabonde kwenye mvua na jua mpaka kifo kitakapowatenganisha? na yeye akajibu "YES"

The wedding ceremony of William and Kate at Westminster Cathedral

Hapa Kate aliulizwa maswali yale yale aliyoulizwa prince na bila kusita Kate alijibu "YESSSSSSSSSSSSS"inayoonekana hata katika uso wake



Basi baada ya viapo kitu kilichosubiriwa  siku zote  na watizamaji kutoka sehemu mbalimbali duniani hapa kimetimia unajua wenzetu wanasemaje "THE PUBLIC KISS OF HIS AND HER ROYAL HIGHNESS
PRINCE AND PRINCESS OF WALES"

Women in wigs. Photo: Adrian Hall.
Baadhi ya watu waliokuwa na msisimko wakati wa harusi hiyo ya kifalme



Prince William and Duchess of Cambridge

Basi hapa bwana na bibi harusi wakielekea kwenye kasri la malkia au kwa mama mkwe kasri ya Buckingham Palace London.


Buckingham Palace London.


Basi huyu jamaa naye alikuwa mgeni rasmi  jina lake ni Rowan Atkinson amependeza sio kama tulivyomzoea



Basi bwana  Beckham na Victoria walikuwepo

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen