Best Blogger TipsSoon

Samstag, 12. März 2011

TZMPAKAAU

Hii ni ford explorer forth generation zilizotengenezwa (2006-2010) with Magna International  underlicense of   Ford Motor company
Na hii ni kilimanjaro Tanzania sijui mwaka wa utengenezaji wake na sijajua kama ford wameamua kutengeneza sasa magari yao kwa kutumia jina la kilimanjaro au labda wachaga wachaga nao wamepewa license ya kutengeneza haya magari na ford sijui au wao wameamka na hii machine mpya wao wenyewe au ni kazi photoshop sijui lakini kama unaonatofauti yoyote na ford explorer 4th generation unawezatoa comments

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen