Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 3. März 2011

TZMPAKAAU

Froschgift gegen Schmerzen

Das Gift von Schlangen und Spinnen, Fischen oder Fröschen soll töten oder abschrecken. Gleichzeitig erfüllt es eine äußerst wichtige Voraussetzung, die ein wirksames Arzneimittel ausmachen: Tierische Toxine wirken nämlich äußerst präzise und selektiv, andere Gewebe oder Organe bleiben verschont. Ein Beispiel für ein in der Medizin einsetzbares Tiergift ist das Gift der Pfeilgiftfrösche. Normalerweise führt ihr Hautsekret zu Krämpfen und Lähmungen. In Tierversuchen zeigte es aber auch eine schmerzlindernde Wirkung, um vielfaches wirksamer als Morphin. Positive Nebenwirkung: die Substanz scheint nicht - wie andere Opiate - abhängig zu machen.


Sumu ya nyoka,buibui,samaki au chura inaweza kusababisha kifo au kuwa hatari kwa namna moja au nyingine.Sumu  hizi huwa na madhara tofauti hata sumu za nyoka hutofautiana kati ya nyoka na nyoka nyingine huweza kusababisha madhara katika organ fulani kwa mnyama aliyeathirika,nyingine husababisha madhara katika mfumo wa damu nyingine husababisha madhara katika mapafu almradi kila sumu inaathari tofauti na ni mara chache sumu  hizi kusababisha madhara yanayofanana lakini imegundulika baada ya uchunguzi wa kisayansi kwamba sumu ya chura wa njano huweza pia kutumika kama dawa ya maumivu ikituliza maumivu kama dawa ya morphin lakini bila madhara ya kumfanya mtumiaji kuwa tegemezi.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen