Best Blogger TipsSoon

Montag, 7. Mai 2012

TZMPAKAAU

NEW FRENCH PRESIDENT(RAIS MPYA WA UFARANSA)
Elected french president Francois Hollande
Francois Hollande is the new French president, ending Nicolas Sarkozy's rule after just one term.He becomes the first Socialist president of the country for 17 years.Mr Hollande said the French people had voted for change and that austerity should no longer be considered inevitable.He also said he wanted his presidency to be judged on what he did to deliver justice and to help the youth of France.
                 Rais Mpya wa Ufaransa bw.Francois Hollande
Bw. Francois Hollande anatokea chama cha kisoshalist chama ambacho tangu mwaka 1995 hakikufanikiwa katika chaguzi,hivyo kukifanya kuwa chama pinzani toka wakati huo.Bw.Francois Hollande amesema wafaransa wamechagua mabadiliko na kuongeza kuwa suala la kubana matumizi ni swala lisilopingika pia rais huyo mteule amesema anataka kuleta haki pamoja na kuwasaidia vijana wa taifa hilo.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Top Channel na Itsgoodtobeback

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen