Viongozi wa jeshi la Mali wamekerwa na mpango wa kutuma kikosi cha wanajeshi 3,000 nchini humo, kulinda kipindi cha mpito cha kurejesha serikali ya kiraia na hatimae kuisaidia serikali kupambana na wapiganaji walioteka eneo la kaskazini.
Kapteni Sanogo.
Baada ya ECOWAS kuiwekea Mali vikwazo vya kiuchumi kufuatia mapinduzi, viongozi wa mapinduzi walikubali kukabidhi madaraka kwa serikali ya mpito inayoongozwa sasa na Dioncounda Traore, aliyekuwa mkuu wa bunge.Lakini inaelekea viongozi wa jeshi bado wana nguvu, na wanaogopa kikosi cha ECOWAS kitapunguza madaraka yao.
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC na the habari
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen