HOJA YA KUPIGA KURA YA KUKOSA IMANI NA WAZIRI MKUU YAWASILISHWA
Hoja ya kutaka Bunge kupiga kura ya Azimio la kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu imewasilishwa rasmi kwa Spika muda mfupi uliopita. Tunasubiri Spika kutimiza matakwa ya kanuni na kwa kuzingatia maslahi ya Taifa
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen