Kulia ni Dkt.Haji Mponda waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Kushoto ni waziri wa Fedha Mustafa Mkulo.
Kufuatia tuhuma zilizotolewa na wabunge mbali mbali juzi bungeni mjini Dodoma kuhusu mawaziri wezi .Inasemekana sasa mawaziri wanne wanajiuzulu habari zisizo thibitishwa zinasema.Mawaziri hao ni pamoja na waziri wa Ustawi wa Jamii na Watoto Dkt.Haji Mponda,Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo.
Bw.Cyril Chami waziri wa viwanda na biashara.
Na pichani juu Bw.William Ngeleja waziri wa Nishati na Madini. lakini kunatetesi Mawaziri wengi zaidi huenda wakajiuzulu.
Vyanzo:TZMPAKAAU na Mjengwa
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen