(HASIRA IMEZUKA NCHINI MISRI KUFUATIA VIFO VYA WATU 79 KWENYE UWANJA WA MPIRA)

Egyptians, angry at reports of inadequate security at a soccer match where 79 people died Wednesday in a riot, clashed with police, leaving two dead in the city of Suez and at least 900 injured in Cairo, officials said Friday.
(Wa misri waliokasirishwa na ulinzi legelege kutoka kwa serikali yao kupitia wizara ya mambo ya ndani uliopelekea vifo vya watu 79 katika mechi ya mpira siku ya Jumatano, waliandamana na kukabiliana na polisi ambapo watu wawili wamefariki na wengine 900 kujeruhiwa katika mji wa Suez).
Vyanzo:TZMPAKAAU,CNN,BBC na THE GURDIAN
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen