Best Blogger TipsSoon

Dienstag, 4. Oktober 2011

TZMPAKAAU

Deadly attack in Somalia
Shambulio baya Somalia
  • Al Shabab claims to be responsible(Kundi la wanamgambo wa kiislam la Al Shabab lakiri kuhusika)
  • At least 70 people have been killed(Watu angalau 70 wameuwawa)

A government soldier looks at a body covered in cloth at the scene of an explosion in Mogadishu, Somalia, Tuesday, Oct. 4, 2011. (AP / Farah Abdi Warsameh)
                        One of the wounded 
Eyewitnesses  said a truck carrying explosives was driven into a gate near a government ministry and detonated.

A spokesman for the Islamist militant group al-Shabab told the BBC it had carried out the attack.It is the largest attack since al-Shabab withdrew its forces from Mogadishu in August.Rescue workers said more than 50 people had been injured in the blast. Many of the victims were soldiers and students who had been waiting at the education ministry.

A government soldier looks at a body covered in cloth at the scene of an explosion in Mogadishu, Somalia, Tuesday, Oct. 4, 2011. (AP / Farah Abdi Warsameh)
Mwanajeshi wa serikali akiangalia mwili wa mmoja wa wahanga wa mlipuko huo.

Walioshuhudia wamesema lori lililokuwa na milipuko lilikwenda moja kwa moja kwenye lango karibu na wizara moja ya serikali na kulipua.Sheikh Ali Mohamed Rage, msemaji wa kundi la wanamgambo la al-Shabab, aliiambia BBC kuwa wamehusika kwenye shambulio hilo.
Mwanajeshi wa serikali akiangalia mwili wa mmoja wa wahanga wa mlipuko huo.


Basi hali ilivyokuwa eneo la tukio
Mwandishi wa BBC alisema eneo kuu la jengo hilo liliharibiwa.Mwandishi wa BBC wa Somalia Mohammed Dore alisema magari yalikuwa yamechomwa moto, miili ilionekana ikiwa imezagaa mitaani na askari waliopata mshtuko walikuwa wakifyatua risasi ovyo.Mwandishi wetu alisema, miongoni mwa waliouawa na kujeruhiwa ni wanafunzi waliokuwa wamepanga foleni katika lango kuu kufanya mtihani katika wizara ya elimu ili kupata ufadhili wa kusoma Uturuki.

Sources:TZMPAKAAU,BBC and CTV News

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen