KATIBA YA SASA INA MAPUNGUFU:JAJI MKUU
THE CURRENT CONSTITUTION HAS LOOPHOLES
Tanzanian Chief of Justice Othman Chande(Jaji mkuu Othman Chande)
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othuman, amesema katiba ya nchi ina mapungufu kwa kuwa imeshindwa kuainisha haki za kijamii na za kiuchumi ambazo mwananchi anaweza kuzidai na kuzipata.
Kadhalika, Jaji Othuman amesema nchi inataka katiba nzuri na yenye kukidhi mahitaji ya makundi yote katika jamii na sio ya kuigiza kutoka nchi yoyote.
Jaji Othuman alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaa alipozindua tawi la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) jijini Dar es Salaam na kushiriki katika sherehe za miaka 16 ya kituo hicho.
Tanzanian Chief of justice said the current Tanzanian constitution has some loopholes,because it does not define well the social and economic rights that the citizen has.
The chief of Justice said that during the opening ceremony of Law and Human Rights Centre in Dar es Salaam.
Sources:Ippmedia,TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen