Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 25. September 2011

TZMPAKAAU

                A week in pictures


Surging waves hit against …
A powerful typhoon was bearing down on Japan's tsunami-ravaged northeastern coast Wednesday, approaching a nuclear power plant crippled in that disaster and prompting calls for the evacuation of more than a million people.(Typhoon iliyoikumba Japan wiki hii jumatano, ikielekea kwenye mitambo ya nyuklia ya Fukushima )

A duck is seen as demonstrators …


A duck is seen as demonstrators gather during a student rally against the government's public education system in Santiago city 22 September 2011. The students are demanding free and better state education, as well as for an end to profit-making in the public education system.(Bata anaonekana na waandamanaji,Mjini Santiago nchini Chile. Waandamanaji hawa wanapinga mfumo wa elimu uliopo sasa nchini Chile,wanadai elimu nzuri itolewe bure.)





Brad and Bridgette Jordan …
Pictured are Bridgette and Brad Jordan. Bridgette is a 27-inch college student who was identified by Guinness World Records as the world's shortest woman. Brad, her younger brother, is 38-inches tall and the pair were designated as the world's shortest living siblings by Guinness.(Pichani ni Bridgette na Brad Jordan.Bridgette ana sentimeta 68 na kaka yake ana sentimeta 95 Brigitte anasoma chuo.Na wawili hawa wameweka record kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness)

A man removes snow in the …

A man removes snow in the Austrian village of Steinach am Brenner, 20 km (12 miles) south of Innsbruck on 19 September 2011. The province of Tyrol experienced unseasonably cold weather conditions on Monday.(Ni wiki iliyopita Jumamosi mjini Tirol,Austria barafu nyingi ilinyesha na kama inavyoonekana pichani mwanakijiji wa Steinach am Brenner akiondoa barafu ili aweze kutoa gari yake.Cha ajabu ni kipidi ambacho barafu haitegemewi kabisa kunyesha lakini maajabu ya mwenyezi)
Royal Melbourne Show Launches …

Canadian escape artist Dean Gunnarson is lifted by a crane while tied up in a straight jacket and with the rope on fire during a Royal Melbourne Show  preview at the Melbourne Showgrounds on 23 September in Melbourne, Australia.(Mwanamazingaombwe ya jinsi ya kutoroka Dean Gunnarson akiwa ananyanyuliwa na kambarau huku kamba iliyotumiwa kumnyanyua ikiungua kwa moto.)
Members of Indian Army

Members of Indian army engineering wing help a Bhuddist monk  descend a huge landslide following a last Sunday's 6.9 magnitude earthquake that hit Phengla that is 20 km from Sikkim,India.(Wanajeshi wa india wakimsaidia kiongozi mmoja wa dini ya Bhuda aliyenasa wakati wa tetemeko la ardhi lililotokea jumapili iliyopita nchini india,tetemeko lilikuwa na ukubwa  6.9 katika kipimo cha ritcher).

An anti-Gaddafi fighter covers …

An anti Gaddafi fighter covers his ears as mortar is fired against Gaddafi loyalist in a village near Sirte.
(Mmoja wa waasi nchini Libya akiziba masikio yake wakati  wa kurusha kombora kinyume cha wapiganaji watiifu kwa Gadaffi nje kidogo ya mji wa Sirte).

Rain clouds approach the city …
Rain clouds approaching City center of Thailand capital Bangkok.Monsoon rains,mudslides have killed  at least 140 people since July authorities said.(Mawingu yakijikusanya juu ya Jiji la Bangkok nchini Thailand,mafuriko na madhara mengine yaliyosababishwa na mvua tayari watu 140 wameripotiwa kupoteza maisha yao kutokana na mvua hizo )

A man wears a costume representing …

A man wears a costume represent a car frame, as he run on street on world car free  day in Sao Paulo on thursday.The movement aim to raise awareness on enviromental problems caused by heavy usage of cars in urban areas,and to promote bycles as a cleaner and sustainable mode of transport.(Mwanaharakati wa mazingira akiwa na boksi lililo mfano wa gari mjini Sao Paulo nchini Brazil katika siku      ya kuadhimisha dunia bila magari.Dhumuni la siku hiyo ni kuwaonesha watu madhara ya matumizi ya magari hasa maeneo ya miji na kupendekeza matumizi ya baiskeli kama njia mbadala)

Bull

A bull fight in Columbia turned into nasty after the bull charged into members of the crowd.(Mapigano ya madume ya Ng'ombe yalibadilika kuwa kimbembe  baada ya madume ya ng'ombe kuwavamia watazamaji).



Sources:TZMPAKAAU,YAHOO






























Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen