Best Blogger TipsSoon

Mittwoch, 28. September 2011

TZMPAKAAU

                        DO YOU KNOWMALE  MID LIFE CRISIS AND HOW TO DEAL IT?
                       JE UNAUJUA: MGOGORO WA KUUACHA UJANA AU MGOGORO WA KUUKARIBIA UZEE KWA WANAUME?


Ni kipindi ambacho mwanaume anajiuliza maswali mengi kuhusu maisha yake na kutokuridhishwa na mengi yanayoendelea.Hiki ndio nimekifanyia kazi kwa ujana wangu?hiki ndio nilitarajia kupata wakati nimekuwa mwanaume?Hapo inakuwa mbaya zaidi kama hajatimiza malengo yake.Ubaya unakuja bila wao kujua uchungu wote wa kutokutimiza malengo anauhamishia kwa mkewe.Atatoka na kwenda kufanya vitu vitakavyomfanya ajihisi yeye bado kijana na matumaini mapya.Hapo ndio wengine hutelekeza familia zao,kulewa,kubadili wanawake kama nguo tena vibinti vidogo.Matokea hapo yanakuja atafilisika pesa itaishi na kuzidi kudidimia na kusambaratisha familia.Haya yote yanatokea kwa sababu wanaume wamefundishwa kukaa kimya kufa na tai shingoni lakini haitakiwi kuwa hivyo....zungumza.
Hiki ni kipindi kibaya sana kwa wanaume wengi kwenye stage hii huweza kuishia kujiua.
Sasa unaweza kuchangia mawazo kuwa nini kifanyike ili kuepusha madhara yanayoweza kuambatana na kipindi kama hiki?


In Short male mid life crisis is the period where by men who are at the mid of their 40s  starts to  feel like their time is gone and they start to feel like they may be supposed to be like boys behaving as if they were in their 20s or below.Actually the situation is affects about 50% of all men .Some of men start to feel guilty of themselves that may be why i didnt do this and that,or why i did that this way and not another way? the situation can escalate and lead into unexpected or negative results?okey what do you think  should be done during this situation?leave your comments


watch this out  How to deal male midlife crisis



Sources: Dina Marios,TZMPAKAAU,Expert Village,BODY LOGIC














                        

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen