Best Blogger TipsSoon

Freitag, 4. März 2011

TZMPAKAAU


Die leute nennt hier Linz haupt platz(Watu huita hapa Linz haupt platz tafsiri ni kama center ya linz palikuwa sehemu muhimu zamani lakini sikuizi pamechoka kiaina.......hii sehemu  ilianzishwa mwaka 1230B.K kama unakumbuka ile picha ya mto Danube imechukuliwa nyuma tu ya haya majengo)

Linz haupt platz wahrend weihnacht zeit(Hapa ni Linz haupt platz hivi vibanda hujengwa kwa muda katika kipindi cha X Mass basi Waaustria hupendelea sana kutembelea hili eneo wakati huo)

Linz haupt platz in Sylvester zeit(Sasa hapa Linz haupt platz cio sehemu iliyochangamka sana lakini matukio maalumu kama usiku wa mwaka mpya hupokelewa rasmi na watu wa upper Austria hapa na matukio mengine maarufu hufanyikia hapa)


Linz haupt platz straße bahn haltestelle,Schloss und Lentos meusum (Basi bwana hapa kunakituo pia cha haya magarimoshi  ni kwasaabu jirani tuu hii Linz haupt platz kuna meusum mbili zote mpya kabisa moja inaitwa Lentos na nyingine inaitwa Schloss meusum ni meta kadhaa tu kwa miguu toka hapa)

1 Kommentar: